IQNA – Msahafu au nakala ya Qur’ani, iliyondikwa kwa mkono nchini India katika karne ya 19, imepelekwa kwenye maonyesho ya Makumbusho ya Qur’ani Tukufu katika eneo la utamaduni la Hira katika mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3482156 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/21
IQNA – Mushaf wa Rodossi ni nakala ya Qur’ani ya kihistoria nchini Algeria inayotambulika kama nukta muhimu katika uundwaji wa utambulisho wa dini na ustaarabu wa taifa hili.
Habari ID: 3482134 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/11
IQNA – Makumbusho ya Kitaifa ya Ustaarabu wa Misri yamefanikiwa kurekebisha na kulinda baadhi ya nakala adimu za Qur’ani Tukufu zilizoandikwa kwa mkono.
Habari ID: 3482127 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/08
IQNA – Wageni wa Jumba la Makumbusho ya Qur’ani Tukufu katika Wilaya ya Kitamaduni ya Ḥirā’, mjini Makka, sasa wanayo fursa ya kushuhudia turathi adhimu iliyovunja rekodi ya dunia: nakala ya Qur’ani Tukufu iliyoandikwa kwa mkono, iliyo kubwa zaidi kuliko zote duniani, ambayo sasa inaonyeshwa rasmi kwa umma.
Habari ID: 3481893 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/05
IQNA – Mwenyekiti wa Kamati ya Qur’ani ya Jumuiya ya Ulinganiaji wa Kiislamu nchini Libya ametangaza kuchapishwa upya kwa Qur’ani ya taifa (Mus’haf wa Taifa wa Libya) kwa ajili ya kusambazwa bure kwa wananchi.
Habari ID: 3481610 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/03
IQNA – Mafanikio ya kihistoria katika sanaa ya hati za Kiislamu yamezinduliwa mjini Istanbul: Ni nakala kubwa zaidi ya Qur'ani duniani iliyoandikwa kwa mkono, matokeo ya juhudi za miaka sita bila kukata tamaa.
Habari ID: 3481436 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/29
IQNA – Katika mtaa wa kihistoria wa Farangi Mahal mjini Lucknow, mahali muhimu katika harakati za India za utamaduni na uhuru, kuna hazina ya kipekee: nakala ya Qur'ani ya kipekee iliyoandikwa kwa wino wa dhahabu miaka 340 iliyopita.
Habari ID: 3481221 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/12
IQNA – Nakala maalum ya Qur’ani ya Kitaifa ya Syria, inayojulikana kama Mushaf al-Sham, imeonyeshwa rasmi katika banda la Wizara ya Wakfu wakati wa Maonesho ya 62 ya Kimataifa ya Damascus.
Habari ID: 3481186 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/05
IQNA – Fathima Sajla Ismail kutoka jimbo la Karnataka, India, amekamilisha kuandika Qur’ani Tukufu yote kwa mkono akitumia kalamu ya jadi ya kuzamisha kwenye wino (dip pen).
Habari ID: 3481107 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/19
IQNA – Msahafu au nakala adimu ya Qur’an Tukufu iliyoandikwa kwa mkono juu ya kitambaa inatazamiwa kutolewa rasmi kama zawadi kutoka India kwa Saudi Arabia, kwa ajili ya kuonyeshwa katika Jumba la Makumbusho la Qur’an lililo karibu na Msikiti wa Mtume, Al Masjid an Nabawi (SAW) huko Madina.
Habari ID: 3480980 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/22
IQNA – Warsha yenye kichwa “Sanaa ya Uandikaji Nakala za Qur’an” ilifanyika siku ya Jumanne, Julai 9, pembeni mwa Maonyesho ya 20 ya Kimataifa ya Vitabu ya Alexandria nchini Misri.
Habari ID: 3480920 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/09
IQNA – Idara ya Masuala ya Kiutamaduni na Kielimu ya Haram ya Hadhrat Abbas (AS) huko Karbala, Iraq, imetangaza kukamilika kwa zoezi la kuorodhesha hati 2,000 adimu zilizohifadhiwa katika maktaba yake.
Habari ID: 3480625 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/02
IQNA – Nakala ya Qur’ani (Msahafu) kutoka enzi za Mamluk mwishoni mwa miaka ya 1470 Miladia ni miongoni mwa vitu vya sanaa vitakavyouzwa katika mnada wa Sotheby's jijini London leo.
Habari ID: 3480618 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/30
Turathi
IQNA-Miswada au maandiko ya kale ni hazina muhimu ya urithi wa binadamu. Majumba ya makumbusho, vyuo vikuu na vituo vya utafiti ni sehemu ambazo zimejaa maelfu ya maandiko ambayo yanasaidia kuelewa historia, sayansi, lugha, na sanaa mbalimbali hasa katika ustaarabu wa Kiislamu.
Habari ID: 3480523 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/11
Turathi
IQNA-Katika kijiji kidogo cha Gelezerde, pembezoni mwa mji wa Sulaymaniyah, kaskazini mwa Iraq, kuna nakala ya Qur’ani Tukufu (Mus’haf) ambayo haiwezi kupuuzwa – sio tu kwa uzuri wake wa kale, bali kwa thamani yake ya kiroho, kihistoria na kitamaduni.
Habari ID: 3480506 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/07
IQNA – Nakala ya Qur'ani ya kipekee iliyoandikwa kwa mkono na Wafanyaziara wa Arbaeen inaonyeshwa katika banda la Haram ya Hadhrat Abbas (AS) kwenye Maonyesho ya 32 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran.
Habari ID: 3480359 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/12
IQNA – Haram ya Imam Hussein (AS) huko Karbala, Iraq, imezindua Msahafu wa katika hafla iliyofanyika siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3480322 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/07
Turathi ya Kiislamu
IQNA-Msikiti wa Kijani huko Wolfenbüttel, Ujerumani, umepokea nakala nadra ya Qur'ani
Habari ID: 3480092 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/22
Turathi
IQNA – Urekebishaji wa kurasa za nakala adimu ya Msahafu (Qur'ani) wa karne ya 10 Miladia umeanza huko Karbala, Iraq. Haya ni kwa mujibu wa Latif Abdulzahra, mkuu wa Idara ya Urekebishaji Nakala katika Kituo cha Kuhifadhi Nakala na Kumbukumbu katika kaburi au Haram ya Hazrat Abbas (AS).
Habari ID: 3480063 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/17
Qur'ani Tukufu
IQNA – Kitabu kinachoitwa "Kalam Mubin: Nyakara za Kale Zaidi za Misahafu (Nakala za Qur’ani); Nyaraka za Qur’ani za Maandishi ya Hijazi," kimezinduliwa katika hafla huko Tehran.
Habari ID: 3480027 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/10