iqna

IQNA

IQNA – Astan Quds Razavi, yaani  Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran, immepanga mfululizo wa programu za lugha mbalimbali kwa ajili ya wafanyaziara wa kimataifa wakati wa maadhimisho ya kuzaliwa kwa Imam Ridha (AS) wa nane wa Waislamu wa madhehebu ya Shia.
Habari ID: 3480563    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/19

IQNA-Afisa mmoja huko Qum ametaja idadi ya Wafanyaziara waliotembelea mji huo mtukufu katika siku zinazoelekea Idi ya Nisf Shaaban kuwa zaidi ya milioni nne.
Habari ID: 3480231    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/17

QOM (IQNA) - Haram Takatifu (kaburi) ya Bibi Maasuma (SA) huko Qom, Iran imepambwa kwa maelfu ya maua siku ya Ijumaa kuadhimisha sherehe za Karamat.
Habari ID: 3477020    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/20

QOM (IQNA)- Balozi wa Jamhuri ya Kenya nchini Iran Mh. Joshua Gatimu ametembelea Haram Takatifu ya Bibi Maasuma - Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-katika mji wa Qum.
Habari ID: 3475222    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/08

TEHRAN (IQNA)-Siku kama ya leo miaka 1266 iliyopita, tarehe Mosi tarehe Mosi Dhul Qaadah na kwa mujibu wa baadhi ya riwaya zenye itibari, alizaliwa Bibi Fatwimat Maasuma SA, binti mtukufu wa Imam Musa al-Kadhim bin Ja'far AS ambaye pia ni mmoja wa Ahlul-Bayti wa Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3471595    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/15