IQNA

Kikao cha 'Imam Hussein (as), Amani na Usalama' nchini Pakistan

12:38 - November 20, 2008
Habari ID: 1710464
Kikao cha kimataifa cha 'Imam Hussein (as), Amani na Usalama' kimefanyika katika mji wa Lahore nchini Pakistan.
Lengo la kikao hicho limetajwa kuwa ni kuimarisha ushirikiano na udugu miongoni mwa Waislamu na kukabiliana na changamoto ambazo zinaukumba umma wa Kiislamu. Kikao hicho ambacho kimeandaliwa na Taasisi ya Huduma kwa Elimu kimewashirisha wasomi na wanafikra mbalimbali wa Pakistan na wasio wa Pakistan.322698
captcha