Kwa mujibu wa Islamcrunch, televisehni hiyo imezinduliwa kwa ajili ya kuarifisha thamani za Kiislamu na Waislamu kwa nchi za Ulaya na hasa Ufaransa. Vilevile televisheni hiyo ina azma ya kuarifisha nafasi ya Waislamu katika ujenzi wa Ulaya mpya na ustawi wa nchi hizo. 324998