Mkutano huo umetayarishwa na Msikiti mkuu wa jamaa wa mji huo.
Sekretarieti ya msikiti mkuu wa jamaa wa Strasbourg imetangaza kuwa kikao hicho kinahudhuriwa na shakhsia wa Kiislamu na vikundi mashuhuri vya qasida katika ukumbi wa Scweitzer.
Kikao kingine cha mazungumzo ya Qur’ani kitafanyika Jumapili ya wiki hii katika ukumbi huo. 335397