IQNA

Tehran, mwenyeji wa kikao cha kimataifa cha 'Utawala wa Faqihi, Ukombozi na Mapambano'

17:30 - March 07, 2009
Habari ID: 1752913
Kikao cha kimataifa cha 'Utawala wa Faqihi, Ukombozi na Mapambano ya Kiislamu kimeanza leo katika ukumbi wa Kauthar katika Taasisi ya Redio na Televisheni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Kwa mujibu wa tovuti ya Mkombozi wa Mwisho, kikao hicho kitaanza sambamba na kuwadia siku ya kupewa uimamu Imam Mahdi ambaye ni Imamu wa Zama (af).
Kwa mujibu wa ratiba ya kikao hicho, viongozi kadhaa wa ngazi za juu wa serikali wamezungumza katika kikao hicho. 373619

captcha