Mkutano huo unafanyika kwa lengo la kuadhimisha Wiki ya Umoja wa Kiislamu na kusisitiza juu ya udharura wa kuimarishwa umoja na mshikamano kati ya makundi ya Kiislamu.
Mkutano huo utahudhuriwa na wanafunzi wa kigeni wa vyuo vya kidini nchini Iran na wanaharakati wa Qur'ani.
Makala kadhaa kuhusu umoja na mshikamanmo wa Kiislamu zitawasilishwa katika mkutano huo. 374713