Maonyesho hayo yanasimamiwa na Kituo cha Utamaduni cha Jamhuri ya kiislamu ya Iran nchini humo.
Mabango yenye sanaa ya maandishi ya kuvutia ya Qur'ani Tukufu, Qur'ani zilizochapishwa zenye thamani kubwa, vitabu vinavyojadili maudhui ya Qur'ani na CD za Qur'ani zilizotayarishwa nchini Iran, vitaonyeshwa katika maonyesho hayo.
Mji wa Petersborough ambao una idadi kadhaa ya misiki na vituo vya Kiislamu, ni miongoni mwa miji yenye idadi kubwa ya Waislamu nchini Uingereza. 378222