Mkutano wa kimataifa wa 'Uislamu na Juhudi za Kufungamana na Zama: Suala la Jihadi' kimepangwa kufanyika mjini Paris tarehe 10 Aprili kwa ushirikiano wa Shrika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Nchi za Kisilamu Isesco, Chuo Kikuu cha Sheria cha Paris na Shirika la Utafiti wa Jografia ya Kisasa cha mji huohuo.