Kitabu hicho kilichoandikwa na Felix Pierre, kinazungumzia hali ya Waislamau wa Zambia na vituo vya Kiislamu nchini humo.
Vilevile kinaeleza historia ya kuingia Uislamu nchini Zambia na picha za misikiti na vituo vya Kiislamu.
Kitabu cha Uislamu Nchini Zambia kina kurasa 268. 384282