Washiriki katika mkutano huo uliopangwa kufanyika baadaye mwaka huu watajadili suala la demokrasia, njia za kuineza, utamaduni na dini.
Masuala mengine yatakayojadiliwa katika mkutano huo ni pamoja na uhuru na mipaka ya kidini na kidemokrasia na Uislamu na demokrasia. 385069