Kwa mujibu wa tovuti ya IUPress, jumba la maonyesho ya kale la chuo hicho limeandaa maonyesho maalumu ya sanaa ya nakshi ya dhahabu ambapo vitabu vipatavyo 50 vilivyonakshiwa na kupakwa rangi ya dhahabu vinaonyeshwa.
Vyombo na zana zinazotumika katika sanaa hiyo tokea karne ya tisa hadi leo vinaonyeshwa katika maonyesho hayo yanayoendelea hadi tarehe 10 Mei. 387018