IQNA

9:16 - April 15, 2009
Habari ID: 1765117

Mkutano wa Waislamu wa Limousin

Kikao cha kwanza cha kila mwaka cha Waislamu wa jimbo la Lomousin nchini Ufaransa ambacho kimeandaliwa na Jumuiya ya Udugu ya Limoges kitafanyika katika mji huo tarehe 9 Mei.

Kwa mujibu wa Saphirnews, kikao hicho kitafanyika kwa ushirikiano wa jumuiya za Kiislamu za miji ya Brive-la-Gaillarde na Guéret.
Maonyesho mbalimbali yanayohusiana na ulimwengu wa Kiislamu yataandaliwa, na makundi ya kiutamaduni na sanaa kutekeleza ratiba mbalimbali za burudani. 388126
captcha