Kwa mujibu wa tovuti ya Quranconference, kikao hicho kitaanza kwa hotuba ya mkuu wa chuo hicho na kisha kufuatiwa na ya Nasr Hamid Abu Zaidi kuhusiana na mtazamo wa Qur'ani kuhusu ulimwengu na utaratibu wa sura za Qur'ani.
Kikao hicho pia kitachunguza maudhui mbalimbali za Qur'ani zikiwemo za nuskha za Qur'ani zilizoandikwa kwa mkono, Qura'ni na nyaraka za kihistoria, Qur'ani na lugha ya kihistoria na fasihi ya Qura'ni. 385751