IQNA

Mkuu wa Jumuiya ya Mashahidi wa Sudan awasili Tehran

14:49 - April 20, 2009
Habari ID: 1767491
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Mashahidi wa Sudan amewasili mjini Tehran kwa lengo la kustawisha ushirikiano wa pande mbili na kutia saini hati ya maelewano na Taasisi ya Shahidi ya Iran.
Baada ya kuwasili nchini ujumbe wa Jumuiya ya Mashahidi wa Sudan ulizuru haram ya Imam Khomeini na kukagua Taasisi ya Shahidi ya Iran. Ujumbe huo unatazamiwa kukagua taasisi za jumuiya hiyo katika miji mbalimbali hapa nchini na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi mbalimbali. 390741

captcha