Kundi moja la walemavu wa Ulaya wataelekea katika mji wa Gaza mapema mwezi ujao wa Mei kwa lengo la kuonyesha mfungamano wao na wakazi wa mji huo na hasa walemavu na majeruhi, wahanga wa mashambulio ya mauji ya umati yaliyotekelezwa hivi karibuni na utawala haramu wa Israel dhidi ya wakazi wasio na hatia wa Ukanda wa Gaza.