Kwa mujibu wa mtandao wa intaneti wa Alhudacibe, lengo la warsha hiyo ya mafunzo ni kuchunguza njia za kutumia teknolojia ya mawasiliano kwa mujibu wa sheria za Kiislamu pamoja na kuboresha utendaji kazi wa kiteknolojia wa benki na taasisi za kifedha za Kiislamu.
Warsha hiyo inafanyika kwa udhamini wa Kituo cha Uchumi na Benki za Kiislamu cha Pakistan. Wahadhiri katika warsha hiyo ni wataalamu wa kompyuta na teknolojia ya mawasiliano. 403597