IQNA

Tovuti ya makala kuhusu tiba katika Quran

11:07 - May 19, 2009
Habari ID: 1780306
Tovuti ya 'Kituo cha Utaalamu wa Tiba na Quran Tukufu' kimechapisha makala mpya zinazohusiana na masuala ya tiba kwa mujibu wa mafunzo ya Quran.
Kwa mujibu wa IQNA, 'Kituo cha Utaalamu wa Tiba na Quran Tukufu' kimezindua tovuti maalumu ambayo ina mjumuiko wa makala na vitabu kuhusu tiba katika Quran na Uislamu. Aidha tovuti hiyo ina maelezo, ripoti na habari mbali mbali kuhusiana na tiba kama vile kalenda ya tiba ya Uislamu na mimea yenye faida za kitiba.
Tovuti hii imetayarishwa kwa himaya ya Jumuiya ya Harakati za Quran ya Wanachuo wa Iran, Idara ya Jihad ya Vyuo Vikuu , Jumuiya ya Wanachuo wa Tiba na Watafiti wa Quran chini ya muongozo wa wataalamu wa sayansi na Quran. Anuani ya tovuti hiyo ya intaneti ni http://www.qclubs.ir/ClubPage.aspx?ClubId=8

406821


captcha