Kwa mujibu wa duru za habari nchini Saudia, mashindano yamefanika kwa himaya ya Jumuiya ya Kuhifadhi Quran ya eneo la Al Bashair na yalikuwa katika kiwango cha kuhifadhi Juzuu 10 za Quran Tukufu kwa kuzingatia kanuni za Tajweed. Ajuza huyo mwenye umri wa miaka 100 ameweza kujibu maswali yote bila kufanya kosa lolote katika mashindano hayo.
622530