Kwa mujibu wa shirika rasmi la habari la nchi hiyo BNA, Bwana Farid al-Fatih, Naibu Waziri wa Sheria na Masuala ya Kiislamu wa Bahrain amesema kuhusiana na suala hilo kuwa sherehe za kufunga mashindano hayo zitafanyika katika msikiti wa Ahmad al-Fatih. Ameongeza kuwa Khalid bin Ali al-Khalifa, Waziri wa Sheria na Masuala ya Kiislamu wa Bahrain atahudhuria sherehe hizo.
Mashindano hayo yamewashirikisha vijana 104 wa kike na kiume. Washindi wa watapewa zawadi nono katika sherehe hizo. 638245