Hatua hiyo ni sehemu ya mpango wa kutoa zawadi ya nakala laki mbili za kitabu kitakatifu cha Qur'ani kwa raia wasiokuwa Waislamu wa Marekani ili kuwaelimisha mafundisho ya kitabu hicho cha Mwenyezi Mungu.
Baraza la Uhusiano wa Uislamu na Marekani limewataka watu wote wanaotaka kupata nakala za tarjumi ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kiingereza kuwasilisha maombi yao kupitia adresi ifuatayo: www.cair.com/banquet
Kongamalo la CAIR litafanyika Jumamosi ya tarehe 9 Oktoba katika mji wa Arlington katika jimbo la Virginia. 666599