Kwa mujibu wa Idara ya Mahusiano ya Umma ya Mtandao wa Kiislamu wa Wanawake Wasomi katika Ulimwengu wa Kiislamu, tovuti hiyo yenye anwani ya www.inws.org itazinduliwa pambizoni mwa kikao cha mawaziri wa sayansi wa Jumuiya ya Nchi za Kiislamu OIC nchini Malaysia kitakachofanyika kati ya tarehe 19-22 Oktoba nchini Malaysia.
677849