Kwa mujibu wa IQNA, wanachama wote 32 wa ujumbe huo wanatazamiwa kukutana mjini Makka siku ya Ijumaa.
Ujumbe huo uliopewa jina la Nur unajumuisha wasomaji mahiri zaidi na maqari bora zaidi wa Qur'ani Tukufu nchini Iran. Aidha ujumbe huo unajumuisha kundi moja la Qaswida.
Kwa kawaida mahujaji huvutiwa sana na visomo vya maqari Wairani ambao hushiriki katika ibada ya hija kila mwaka.
688013