Sambamba na kufanyika ibada ya hija katika jangwa la Arafa katika mji mtakatifu wa Makka katika siku ya Arafa tarehe 9 Dhul Hijja, Waislamu wa Ufaransa watajiunga na wenzao duniani kote katika hafla ya kimaanawi ya kusoma Dua ya Arafa itafanyika siku hiyo mjini Paris katika ukumbi wa Baitul Zahra (AS).