Kwa mujibu wa mwandishi wa IQNA, kikao hicho kimefanyika katika makao ya mahujaji wa Kishia kutoka eneo la Qatif nchini Saudi Arabia.
Kati ya maqari wa Iran waliosoma Qur'ani katika kikao hicho ni Hamid Shakernejad, Muhammad Taqi Mirzajani na Nikdasti. Qari mashuhuri wa Iraq Maitha Tammar alihuduria kikao hicho lakini hakuweza kusoma kutokana na hali mbaya ya afya.
Maqari na mahafidhi 32 wa Qur'ani Tukufu wa Iran wanashiriki katika ibada ya hija mwaka huu wakiwa wamenadamana na kundi la qasida Sabatayan.
693949