Reli ya kilomita 18 ambayo katika awamu ya kwanza ina vituo tisa itaunganisha mji wa Makka na maeneo matakatifu ya ibada ya hija ya Mina, Arafat na Muzdalifa na ina uwezo wa kubeba abiria 72 lefu kwa saa.
Mradi huo wa reli ambayo pia inajulikana kama Reli ya Mashair umetekelezwa kwa ushirikiano wa China na Saudi Arabia na unatazamiwa kukamilika Mei 2011. Mradi huo umegharimu dola bilioni 1.8.
Mabasi 4000 yalikuwa yakitumika kuwasafirisha mahujaji katika masafa ya reli hiyo.
694208