Baada ya mashindano ya mchujo, washiriki watachuana kitaifa katika viwango vya Qiraa ya Qur'ani, kuhifadhi Qur'ani, Tafsiri, Ufahamu wa Qur'ani, Hadithi na Adhana.
Watakaoshinda watafuzu kuingia katika mashindano ya Qur'ani ya vikosi vyote vya kijeshi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yatakayofanyika Disemba mwaka huu.
697059