Kwa mujibu wa gazeti la Al Khalij mashindano hayo yanasimamiwa na Taasisi ya Kimataifa ya Zawadi ya Dubai na yatajumuisha wanawake na wanaume.
Mkuu wa Kamati ya Uandalizi Ibrahim Muhammad Bumilha amesema mashindano haya yatamalizika Novemba 29. Amesema jopo la majaji katika mashindano hayo litajumuisha wataalamu 18 wanaume na wanawake.
Ahmad Safar al Sayvidi mwanachama wa Kamati ya Maandalizi amesema washindi watatunukiwa zawadi katika hafla maalumu.
702468