Kikao hicho ambacho kimeandaliwa na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Jumuiya ya Nchi za Kiislamu ISESCO kitachunguza juhudi za maendeleo na changamoto zinazowakabili watoto wa ulimwengu wa Kiislamu katika miaka yao ya kwanza maishani.
Sheria zinazowalinda watoto, utekelezaji wake na kuasisiwa kwa jumuiya ya watoto katika ulimwengu wa Kiislamu ni masuala mengine yatakayochunguzwa kwenye kikao hicho. 734520