Kwa mujibu wa mwandishi wa IQNA, washiriki watasoma Qur'ani kwa muda wa wiki 10 na wamealikwa na kuhimizwa kushiriki kikao cha saa nzima kila wiki kitakachoongozwa na wataalamu wa IDC kuhusu sura maalumu za Qur'ani. Vikao hivyo vinakusudia kutwalii sura zilizosomwa kila wiki na kuchunguza nukta za pamoja na za hitilafu baina ya Qur'ani na Bibilia katika mazingira ya mijadala ya kimantiki.
Programu hiyo itaanza na vikao vya utangulizi Februari 5 na kumalizika kabla ya siku ya tarehe 24 Aprili.
736833