Kanisa ya First Presbyterian la Rutherford limeshirikiana na Kituo cha Mazungumzo Baina ya Dini IDC mjini New Jersey Marekani na kuandaa fursa nzuri ya kielimu kwa jamii ya kusoma Qur'ani katika mazingira yanayohimiza kuheshimiana na maelewano baina ya dini na tamaduni zote.