Kwa mujibu wa tovuti ya punchng, mashindano hayo yameandaliwa na gavana wa jimbo hilo kwa lengo la kuwatambua wasomaji bora wa Qur'ani katika jimbo hilo.
Mashindano hayo ya kila mwaka hufanyika katika vitengo sita ambapo washindi hupata fursa ya kushiriki katika mashindano ya kitaifa ya usomaji Qur'ani. Waandaaji wa mashindano hayo wanasema yanawagharamu fedha nyingi kuyaandaa. 740631