Programu hiyo ni mjumuiko wa programu za kompyuta maalumu kwa simu za mkononi na imetayarishwa na Kituo cha Utafiti wa Kompyuta cha Isfahan.
Programu hiyo pia inajumuisha mada kama vile 'Mwanamke katika Qurani, Mafunzo ya Qurani, Ahul Bayt AS na Ushia katika Uislamu.
Programu ya kompyuta ya 'Madinatul Elm' ina vitabu 330 na makala kuhusu maisha ya Mtume SAW, Seerah na Hadith.
Wanaotaka kudownload program hiyo wanaweza kufanya hivyo katika tovuti http://www.ghaemiyeh.com/ar/
740316