Tovuti ya Saphirnews imeripoti kuwa kikao hicho ambacho kitakuwa mkutano wa kwanza wa Waislamu wa Ufarasna katika mwaka huu wa 2011 kitasimamiwa na Muungano wa Familia za Kiislamu (UFM).
Miongoni mwa wageni wa kikao hicho ni Sheikh Ghalib bin Sheikh, mtaalamu wa masuala ya Kiislamu na Mwenyekiti wa kongamano la Kimataifa la Dini kwa Ajili ya Amani. 742232