Amesema kuwa Qur’ani Tukufu na Hadithi za Mtume (saw) zimeainisha njia zinazomporomosha mwanadamu na zile zinazomuokoa na kumfikisha kwenye ufanisi.
Mufti wa Jumuiya ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu wa Kuwait ameyasema hayo kwa mnasaba wa kuanza kambi ya Jumuiya ya Kuhuisha Turathi za Kiislamu katika mji wa Jahraa nchini humo. 746956