Kwa mujibu wa mwandishi wa IQNA, katika kikao kilichofanyika wiki iliyopita Muhammadi aliteuliwa katika mkutano uliojumuisha taasisi zote za Qur'ani nchini Iran. Hassan Muhammadi ana shahada ya uzamili katika sayansi za Kiislamu na usimamizi wa Kifedha kutoka Chuo Kikuu cha Imam Sadeq AS cha Tehran.
Muhammadi amekuwa akifanya kazi kwa muda wa miaka mitano katika Jumuiya ya Taasisi za Qur'ani ya Iran kama mkurugenzi wa masuala ya utendaji na fedha.
Muhammadi anachukua nafasi ya Reza Mokhtari.
747595