Kitabu hicho kimeandikwa na Haidar al Kaabi, mhadhiri wa sayansi ya Qur'ani katika Kituo cha Hadhrat Ruqayyah na kina masomo saba ya jinsi ya kutamka maandishi na herufi za Qur'ani kwa njia sahihi, harakati za Qur'ani, alama za kusimama na kadhalika.
Kituo cha Hadhrat Ruqayyah pia kimetayarisha CD ya kiraa kamili ya Qur'ani iliyosomwa na Usadh Rafi A'amiri.
CD hiyo imetayarishwa kwa ajili ya kutoa mafunzo ya kiraa na tartili ya Qur'ani kwa wanaopenda kushiriki masomo hayo. 749015