Mashindano hayo yataendelea kwa kipindi cha siku nne katika nyanja za kuhifadhi Qur'ani na hadithi za Mtume Muhammad (saw).
Wanafunzi wanaoshiriki katika mashindano hayo ni wale waliofuzu awamu za awali za mashindano hayo, wawakilishi wa shule za Wizara ya Elmu, shule za Wizara ya Ulinzi, madrasa za Qur'ani za Taasisi ya Masuala ya Kheri ya Wizara ya Wakfu, vituo vya elimu vinavyosimamiwa na Chuo Kikuu cha Muhammad bin Saud na Kituo cha Qur'ani cha Gadi ya Taifa ya Saudi Araba.
Kamati ya mashindano hayo itatoa zawadi kwa mshindi wa kwanza hadi wa tatu katika hifdhi ya Qur'ani na wa kwanza hadi kumi wa kuhifadhi hadithi za Mtume Muhammad (saw).
753319