Kituo cha habari cha networknorwich kimeripoti kuwa ratiba hiyo ya siku mbili inajumuisha hotuba mbalimbali za kuarifisha dini hiyo.
Maudhui kuu ya vikao vya ratiba hiyo ni jinsi ya kuujua Uislamu na kujenga uhusiano na jirani Waislamu.
Maudhui nyingine zitakazojadiliwa katika vikao hivyo ni pamoja na Uslamu wa zama hizi, Ujue Uislamu na jinsi ya kujenga uhusiano na jirani Waislamu. 756616