Rais Nursultan Nazarbayev wa kazakhsan amesema amesema katika hotuba hiyo inayopinga Uislamu kwamba anapinga aina zote za vazi la hijabu ya Kiislamu hususna kati ya wanafunzi wa vyuo vikuu na vijana.
Nazarbayev amedai kwamba vazi la hijabu ya Kiislamu linakwenda kinyume na falfasa ya uhuru na kwamba ni jambo ambalo limekuja kutoka nje ya Uislamu.
Mpango huo wa kupiga vita Uislamu ni katika mikakati ya kupuuza mafundisho ya dini hiyo na kufuata demokrasia potovu ya Kimagharibi. 762652