Kikao hicho kilichunguza kwa makini matukio ya Afrika Kaskazini na Mashariki ya Kati kwa lengo la kuchukua maamuzi ya pamoja ya kukabiliana na changamoto zilizopo kwa maslahi ya Uislamu na Waislamu duniani.
Mabalozi wa nchi za Kiarabu na Kiislamu wameshirki katika kikao hicho na kati yao wakiwemo mabalozi au wawakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tunisia, Syria, Jordan, Sudan, Iraq n.k.
765034