Kozi hizo zilitayarishwa na Taasisi ya Darul Quran ya Shirika la Kiislamu la Maendeleo kwa kushirikiana na vituo 318 vya Qurani kote Tehran.
Hayo yamedokezwa na Mahdi Nadi Mkuu wa Kituo cha Darul Quran mkoani Tehran. Ameongeza kuwa hivi sasa kuna kozi tano za waalimu wa shule za nursery ambapo waalimi 110 wa Tehran wanashiriki. Ameelezea matumaini kuwa kozi kama hizo zitaendelea katika siku za usoni.
764997