Sherehe za ufunguzi wa makaazi hayo zimehudhuriwa na Abdulrahim Naghi Mkuu wa Baraza la Idara la Taasisi ya Al Rahman na baadhi ya wanachama.
Sherehe za ufunguzi wa makaazi hayo zimehudhuriwa na Abdulrahim Naghi Mkuu wa Baraza la Idara la Taasisi ya Al Rahman na baadhi ya wanachama.
Taasisi hiyo pia imejenga au kuanzisha shule, misikiti, nyumba za mayatima mbali na kuzifadhili familia za watu wasiojiweza nchini Uganda.
Wakuu wa Taasisi ya Al Rahma pia wametembelea Shule ya Zamzam iliyoanzishwa mwaka 2007 ikiwa na suhula kadhaa zikiwemo maabara, msikiti na bweni la mayatima. Shule hii ilifanikiwa kushika nafasi ya 22 katika mitihani ya kitaifa nchini Uganda.
Abdulrahim Naghi Mkuu wa Baraza la Idara la Taasisi ya Al Rahman amesema kuwa taasisi hiyo imejenga misikiti 41 nchini Uganda hadi sasa.
Taasisi ya Al Rahman inawafadhili mayatima 600 nchini Uganda.
769633