Maonyesho ya Sita ya Kimataifa ya Chakula na Bidhaa Halali za Waislamu China (CHIHAS 2011) yatafanyika huko Yinchuan katika eneo lenye mamlaka ya ndani ya Ningxia Huo kuanzia Sept 19-23 yanatazamiwa kuwashirikisha zaidi ya wananuzi elfu 10 na washiriki 400.