Kwa mujibu wa Kapteni Meydani wa Kituo cha Darul Quran cha Jeshi la Iran, vikao hivyo vitahusisha maafisa wa jeshi na familia zao.
Amesema vitengo vyote vya jeshi la Iran vitashiriki katika mpango huo ambao lengo lake ni kustawisha ufahamiwa Qurani Tukufu na kuinia kiwango cha utamaduni wa Qurani katika jeshi.
Amesema wataalamu wa kimataifa na wanaharakati wa Qurani watashiriki katika vikao hivyo.
772591