Kwa mujibu wa tovuti ya Almadina Institute' semina hiyo ya siku tatu itachunguza miujiza na mafundisho ya Qur'ani Tukufu. Wataalamu na wasomi wa Kiislamu kutoka nchi tofauti za Kiislamu watahudhuria kikao hicho na kuchunguza miujiza ya Qur'ani Tukufu pamoja na mafundisho muhimu yanayopatikana katikakitabu hicho kitakatifu. Kikao hicho kinaandaliwa na Jumuiya ya al-Madina kwa mwaka wa nne mfululizo. 773989