Kikao hicho cha siku tatu kimeandaliwa na Kituo cha Masuala ya Kifedha na Uchumi wa Kiislamu cha Chuo cha Utafiti wa Kiislamu cha Qatar QFIS, Taasisi ya Utafiti na Mafundisho ya Kiislamu IRTI Jumuiya ya Kimataifa ya Uchumi wa Kiislamu na Kituo cha Utafiti na Taaluma ya Takwimu, Uchumi na Masuala ya Kijamii cha Nchi za Kiislamu SESRIC. Mkutano huo unachunguza njia za kupunguza umasikini na kuimarisha uchumi katika nchi za Kiislamu. 774456