Baraza la Uhusiano wa Uislamu na Marekani CAIR linashirikiana na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Jumuiya ya Nchi za Kiislamu ISESCO katika kuandaa kikao cha kuchunguza suala la kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu huko katika jimbo la California nchini Marekani.