Mohammad Hadi Zahedi anayesimamia maktaba na majumba ya ukumbusho katika Taasisi ya Astane Quds Razavi amesema zaidi ya vitabu laki nne na nyaraka za kihistoria zimehifadhiwa kwa njia ya dijitali na kukabidhiwa maktaba hiyo.
Amesema nyaraka hizo za dijitali zinajumuisha maandishi ya kale, picha na vitabu vya lithografia.
Bw. Zahedi ameongeza kuwa mpango wa kuanzisha kitengo cha dijitali katika mkatba hiyo ulianza muaongo moja uliopita.
775408