Haya yamesemwa na mtarjumi maarifu wa Qurani nchini Iran Bw. Mostafa Rahmandust.
Rahmandust ambaye pia ni malenga mashuhuri nchini Iran amefasiri Qurani tukufu kwa lugha ya Kifarsi. Amesema kila mwanaadamu anapaswa kupata fursa ya kuisoma Qurani kwa lugha yake ili aweze kuyafahamu mafundisho yake. Aidha amesema wale wanaotekeleza jukumu la kuandika tarjuma ya Qurani wanapaswa kuwa Na ujuzi wa mafundisho ya Kiisloamu.
775210